hicho ni kikosi kamili cha skauti wa shule ya msingi sunray wakiwa wapo kwenye mafunzo mbalimbali kwa ajili ya maandalizi ya mahafali ya darasa la saba,kwakweli hawa ni skauti hodari hasa ukizingatia na umri wao ni wa cub ila hawakulijali hilo na wameapa kuzitii kanuni za skauti na kupambana muda wote katika kuzilinda na kuzitetea kanuni za skauti,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni