skauti wa shule ya msingi sunray wakiwa teyari kwa ajili ya maandalizi ya mahafari ya darasa la saba katika shule yao ambayo yanatarajia kufanyika siku ya tarehe 28/11/2015 shukeni hapo,skauti wa shuleni hapo wameandaa maonyesho ya aina mbalimbali ambayo yanatarajiwa kuonyeshwa siku ya sherehe hiyo.
sherehe inatarajiwa kuhudhuliwa na watu mbalimbali wakiwemo wazazi na skauti wengine kutoka katika shule mbalimbali katika mkoa wa dar es salaam.
hivyo basi uongozi wa skauti wa shule ya sunray unapenda kuchukua nafasi hii na kuwaalika pia viongozi mbalombali wa skauti.
SUNRAY SCOUT OF TANZANIA
Jumanne, 10 Novemba 2015
MAANDALIZI YA MAHAFARI SUNRAY
Jumatatu, 9 Novemba 2015
KAMISHNA MKUU WA SKAUTI TANZANIA
Kamishna mkuu wa skauti ABDULKARIM SHAA akiwa anakula kiapo cha skauti katika sherehe za uapishaji.
huyo hapo chini kwenye picha ndiye kamishna mkuu wa skauti tanzania.
MAELEZO KUHUSU SKAUTI
Skauti ni chama cha Hiyari cha Kielimu kinachotowa mafunzo kwa vijana wote bila ubaguzi wa rangi,jinsia,dini wala kabila.
MALENGO YA SKAUTI
Malengo ya skauti ni kumuandaa kijana kiroho,kimwili,kimtazamo na kijamii ili aweze kujitegemea,kusaidi,kuwajibika na kufaa kwa jamii.
NJIA ZA KUFIKIA MALENGO HAYO
1. Ahadi na kanuni za skauti.
2. Mfumo wa vikosi.
3. Mafunzo endelevu.
4. Mafunzo kwa vitendo.
5. Maisha ya uhalisia.
6.Framable work.
7.Mahusiano ya vijana na watu wazi
ma.
CREATING A BETTER WORLD
Ijumaa, 6 Novemba 2015
KIKOSI CHA SKAUTI CHA SUNRAY
hicho ni kikosi kamili cha skauti wa shule ya msingi sunray wakiwa wapo kwenye mafunzo mbalimbali kwa ajili ya maandalizi ya mahafali ya darasa la saba,kwakweli hawa ni skauti hodari hasa ukizingatia na umri wao ni wa cub ila hawakulijali hilo na wameapa kuzitii kanuni za skauti na kupambana muda wote katika kuzilinda na kuzitetea kanuni za skauti,
Jumanne, 18 Agosti 2015
THE SCOUT IS YOUR DAILY LIFE
surely scout is the only party youth members containing most of the world with the aim to prepare the world to be better.
MADIBA ROVER CREW AT THE AUDIT