skauti wa shule ya msingi sunray wakiwa teyari kwa ajili ya maandalizi ya mahafari ya darasa la saba katika shule yao ambayo yanatarajia kufanyika siku ya tarehe 28/11/2015 shukeni hapo,skauti wa shuleni hapo wameandaa maonyesho ya aina mbalimbali ambayo yanatarajiwa kuonyeshwa siku ya sherehe hiyo.
sherehe inatarajiwa kuhudhuliwa na watu mbalimbali wakiwemo wazazi na skauti wengine kutoka katika shule mbalimbali katika mkoa wa dar es salaam.
hivyo basi uongozi wa skauti wa shule ya sunray unapenda kuchukua nafasi hii na kuwaalika pia viongozi mbalombali wa skauti.
Jumanne, 10 Novemba 2015
MAANDALIZI YA MAHAFARI SUNRAY
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni