Jumatatu, 9 Novemba 2015

MAELEZO KUHUSU SKAUTI

Skauti ni chama cha Hiyari cha Kielimu kinachotowa mafunzo kwa vijana wote bila ubaguzi wa rangi,jinsia,dini wala kabila.

           MALENGO YA SKAUTI

Malengo ya skauti ni kumuandaa kijana kiroho,kimwili,kimtazamo na kijamii ili aweze kujitegemea,kusaidi,kuwajibika na kufaa kwa jamii.

  NJIA ZA KUFIKIA MALENGO HAYO

1. Ahadi na kanuni za skauti.
2. Mfumo wa vikosi.
3. Mafunzo endelevu.
4. Mafunzo kwa vitendo.
5. Maisha ya uhalisia.
6.Framable work.
7.Mahusiano ya vijana na watu wazi
    ma.

     CREATING A BETTER WORLD

Maoni 6 :

  1. kanuni za skauti naweza zipata

    JibuFuta
  2. Eleza wajibu wa kiongozi wa kundi la skauti kwa skauti wenyewe, wazazi,jamii na uongozi wa chama cha Skauti wilaya na makao makuu

    JibuFuta
  3. Vitabu vya skauti na miongozo tapataje

    JibuFuta